Stanley 4 Mombasa
Campaign poster: Stanley 2027. Linda Mwananchi. For MSA Governor. Mombasa ni Sasa!

Tujenge Mombasa inayofanya kazi.Let's build a Mombasa that works.

Stanley Dindi Muyodi anagombea kiti cha Ugavana wa Kaunti ya Mombasa tarehe 10 Agosti 2027, akiwa na mpango wa kuifanya serikali ya kaunti imtumikie kila mwananchi.Stanley Dindi Muyodi is running for Governor of Mombasa County on 10 August 2027, with a plan to make the county government work for every mwananchi.

Mombasa ya KeshoThe Mombasa we're building

Sekunde arobaini na sita za Mombasa tunayoweza kujenga pamoja: serikali inayowajibika, hospitali zinazotibu kwanza, maji ya bomba, usafiri wa kisasa na masoko yanayofanya kazi.Forty-six seconds of the Mombasa we can build together: a county that answers to you, hospitals that treat you first, piped water, modern transport and markets that work.

Picha za kubuniArtist's impressions

Uchaguzi Mkuu: Jumanne, 10 Agosti 2027General Election: Tuesday 10 August 2027

Vituo vya kupigia kura vitafunguliwa saa 12:00 asubuhi. Hakikisha umesajiliwa kama mpiga kura kupitiaPolls open at 6:00 am. Check that you are registered to vote at verify.iebc.or.ke.

291SikuDays
15SaaHours
00DakikaMinutes
00SekundeSeconds

Ajenda ya MombasaThe Mombasa Agenda

Kwanza, tuifanye serikali ya kaunti ifanye kazi. Kisha tuitumie kujenga Mombasa iliyo safi, tajiri na inayoendeshwa vyema zaidi.Make the county government work, then use a working government to build a cleaner, richer, better-run Mombasa.

  • 24/7Kaunti inayofanya kazi saa 24. Barabara husafishwa na kukarabatiwa usiku.A county that works round the clock. Streets cleaned and repaired at night.
  • BureFreeUsafiri wa basi kwa watoto chini ya miaka 16 na wakazi zaidi ya miaka 70.Bus rides for children under 16 and residents over 70.
  • Siku 77 daysUamuzi kuhusu leseni za biashara za kaunti mara ombi lako likikamilika.For a decision on county business permits once your application is complete.
  • Tibiwa KwanzaTreat FirstTibiwa kwanza, lipa baadaye katika kila hospitali ya kaunti.Treat first, pay later at every county hospital.

Serikali InayowajibikaAn accountable county government

  • Sehemu kubwa zaidi ya kila shilingi inafikia huduma unazoziona.More of every shilling reaches services you can see.
  • Kila mradi unachapishwa hadharani pamoja na bajeti, muda wa kukamilika na hatua uliyofikia.Every project published with its budget, deadline and progress.

Usafiri wa KisasaModern public transport

  • Huduma ya mabasi ya umeme ya kaunti, safi, yenye taarifa za moja kwa moja za muda wa kufika.A clean, electric county bus service with live arrival times.
  • Usafiri bure kwa watoto, wazee na kina mama wajawazito.Free rides for children, seniors and expectant mothers.

Afya BoraBetter health care

  • Hakuna mgonjwa atakayenyimwa matibabu kwa sababu ya bili katika hospitali ya kaunti.No patient turned away over a bill at a county hospital.
  • Magari ya wagonjwa na wahudumu wa dharura katika kila kaunti ndogo.Ambulances and paramedics stationed in every sub-county.

Maji ya Bomba Kila NyumbaPiped water for every home

  • Maji safi yaliyotibiwa majumbani kwa mabomba, saa 24 kwa siku, siku 7 kwa wiki.Clean, treated water piped to homes 24 hours a day, 7 days a week.
  • Kupunguza utegemezi wa visima na kulinda maji yetu ya ardhini.Less reliance on boreholes, and our groundwater protected.

Mombasa SafiA clean Mombasa

  • Ukusanyaji wa taka unaotegemewa na mapipa ya taka kila barabara.Reliable garbage collection and bins on every street.
  • Vyoo vya umma safi na vya bure mjini na ufukweni.Clean, free public toilets in town and on the beaches.

Watoto na Vijana KwanzaChildren and young people first

  • Chakula cha mchana bure kwa kila mtoto katika shule ya umma.Free lunch for every child in a public school.
  • Maktaba na vituo vya michezo vilivyo wazi kwa kila mtoto.Libraries and sports centres open to every child.

Jiji LililopangwaA well-planned city

  • Bustani, viwanja vya umma na njia pana za waenda kwa miguu zenye kivuli.Parks, public squares and wide, shaded pavements.
  • Fukwe za umma zinarejeshwa, zikiwa na waokoaji kazini.Public beaches restored, with lifeguards on duty.

Kazi na UwekezajiJobs and investment

  • Leseni za biashara za kaunti zinaamuliwa ndani ya siku 7.County business permits decided within 7 days.
  • Soko la Kongowea linajengwa upya kuwa soko la kisasa la saa 24.Kongowea rebuilt as a modern, 24-hour market.

Hakuna Atakayeachwa NyumaNo one left behind

  • Matunzo kwa wazee na familia zilizo hatarini zaidi.Care for the elderly and the most vulnerable families.
  • Ustawi wa wanyama: udhibiti wa kibinadamu na utunzaji wa wanyama wanaozurura.Animal welfare: humane animal control and care for strays.

Picha zote ni za kubuniAll photos are artist's impressions

Picha za usafiri na usafi zimehaririwa kutoka picha za 2025 za Barabara ya Moi na Bahnfrend (Wikimedia Commons, CC BY-SA 4.0).Transport and clean-city images edited from 2025 photos of Moi Avenue by Bahnfrend (Wikimedia Commons, CC BY-SA 4.0).

Matokeo, Si AhadiResults, not promises

Mombasa haihitaji miradi zaidi tu. Inahitaji kaunti inayoweza kuikamilisha, na kuonyesha hatua kwa hatua.Mombasa does not only need more projects. It needs a county that can deliver them, and shows its working.

Kila Mradi HadharaniEvery project in public

Kila mradi una bajeti, afisa anayewajibika, tarehe ya mwisho na hali yake inayoonyeshwa hadharani, kuanzia zabuni hadi siku ya kufunguliwa.Each project gets a budget, a named officer, a deadline and a live public status, from procurement to opening day.

Kamilisha Kabla ya KuanzaFinish before we start

Zahanati, masoko na barabara zilizokwama zinakamilishwa na kufunguliwa kabla ya kutangaza miradi mipya.Stalled clinics, markets and roads are completed and opened before new ones are announced.

Kila Shilingi IhesabiweEvery shilling accounted for

Malipo yote ya kaunti bila pesa taslimu, mikataba inayochapishwa hadharani, na hakuna madeni mapya ambayo kaunti haiwezi kulipa.Cashless county payments, published contracts and no new debts the county cannot pay.

Two-tone blue portrait of Stanley Dindi Muyodi smiling, wearing a dark blazer and open-collared shirt.

Kwa Nini NinagombeaWhy I'm running

Mombasa ni mojawapo ya miji muhimu zaidi Afrika Mashariki. Tuna bandari, bahari, utalii, idadi kubwa ya vijana na vipaji vingi. Lakini watu wengi bado wanakutana na kaunti yao kupitia barabara mbovu, mabomba makavu, taka zisizozolewa na serikali inayochukua muda mrefu mno kufanya mambo rahisi.Mombasa is one of the most important cities in East Africa. We have the port, the ocean, tourism, a young population and enormous talent. Yet too many people meet their county through broken roads, dry taps, uncollected garbage and a government that takes far too long to do simple things.

Sigombei ili kukata utepe. Nataka kubadilisha jinsi kaunti inavyofanya kazi: mitaa safi, hospitali zinazokutibu kwanza, mabasi yanayofika kwa wakati, na serikali inayowajibika kwa kila shilingi inayotumia. Hiyo ndiyo maana ya Linda Mwananchi kwangu.I'm not running to cut ribbons. I want to change how the county works: clean streets, hospitals that treat you first, buses that arrive on time, and a government that answers for every shilling it spends. That is what Linda Mwananchi means to me.

Sitaki kuishi maisha yangu nikilalamika kuhusu matatizo ya Mombasa. Nataka kuwajibika kuyatatua.I don't want to spend my life complaining about what is wrong with Mombasa. I want to take responsibility for fixing it.

“Mombasa haiwezi kungoja. Mombasa ni sasa.”

Stanley Dindi MuyodiMombasa can't wait. Mombasa is now.

Habari MpyaLatest from the campaign

Fuatilia kampeni kwenye mitandao ya kijamii. Machapisho mapya yataonekana hapa.Follow the campaign on social media. New posts will appear here.

Jiunge na TimuJoin the team

Kampeni hii inajengwa wadi kwa wadi. Tuambie ulipo na jinsi ungependa kusaidia, na mratibu kutoka kaunti ndogo yako atakupigia simu.The campaign is built ward by ward. Tell us where you are and how you'd like to help, and a coordinator from your sub-county will call you.

KauntiCounty 001

  • Changamwe
  • Jomvu
  • Kisauni
  • Nyali
  • Likoni
  • Mvita
Utasaidiaje?How will you help?

Changia KampeniSupport the campaign

Kampeni hii inafadhiliwa na wananchi, si na wenye zabuni. Hata shilingi mia moja inatusaidia kufika kila wadi.This campaign is funded by residents, not by people chasing tenders. Even a hundred shillings helps us reach every ward.